JSP Page
MATANGAZO
Menu Page

KARIBU SIMAS

SIMAS ni mfumo wa kimtandao wa kuendesha,kudhibiti na kutunza taarifa na miamala ya SACCOS. SIMAS ni mfumo rafiki, salama na unaofanya kazi kwa wepesi wa namna ya kipekee katika kufanya miamala na Kuzalisha taarifa za kiuhasibu za SACCOS ya aina yoyote na taasisi zingine za kifedha (Microfinance). SIMAS ni mfumo imara unaozingatia uwazi,usahihi wa taarifa, huduma bora kwa mtumiaji na kutoa taarifa ya papo kwa papo

Zifuatazo ni baadhi ya shughuli zinazofanywa na SIMAS
  • Kudhibiti usajili wa Mwanachama
  • Kukokotoa na Kudhibiti Maombi ya Mikopo
  • Kuzalisha na Kudhibiti Mtiririko wa Marejesho ya Mkopo
  • Kudhibiti Adhabu kwa marejesho yaliyocheleweshwa
  • Kudhibiti miamala inayofanywa
  • Kuzalisha Taarifa Mbali Mbali za Kiuhasibu kama vile Leja mbali mbali, Mizania, urari,Mtirirko wa Fedha,Majedwali ya Wanachama n.k
  • Kudhibiti mawasiliano ya wanachama
  • Kudhibiti Mali za chama


Tafadhali ingiza namba yako ya uanachama na nywila yako
SIMAS | SMS Stock Level

Fomu ya Maombi ya Uanachama

Tarehe ya Kuzaliwa:
SIMAS - Job Form
Kufuatilia maombi yako ya kujiunga uanachama, jaza taarifa husika hapa chini


Nenda Ukurasa wa Nyumbani
SIMAS - Kikokotozi cha mkopo
Kikokotozi cha mkopo


SIMAS - Kikokotozi cha mkopo
Kikokotozi cha mkopo

Exception caught:An exception occurred processing [/menu/fpwd.jsp] at line [137] 134: 135: 136: <% 137: ResultSet rs3=statement.executeQuery("select * from loan where loan_name='Mkopo wa Dharura'"); 138: if(!rs3.next()){ 139: %> 140:
<%=rs3.getString("loan_name")%> Haujasajiliwa
Stacktrace: